[caption id="attachment_40101" align="aligncenter" width="750"] Mchumi Mkuu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dionisia Mjema (Watatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa waandamizi wa wizara hiyo pamoja na Washiriki wa Semina ya Elimu ya Sera ya Taifa ya Huduma Ndogo za Fedha kwa makundi maalum iliyoandaliwa na Wizara hiyo, mkoani Mwanza.[/caption]
Na Farida Ramadhani, WFM, Mwanza
Wizara ya Fedha na Mipango imeanza kutoa elimu ya Sera ya Taifa ya Huduma Ndogo za Fedha kwa watu wenye ulemavu wa kusikia (Viziwi) kwa lengo...
Read More