[caption id="attachment_1295" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Dkt. Mashombo Mkamba akielezea jambo kuhusu umuhimu wa kujua magonjwa katika ngazi ya familia alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mshauri wa Afya ya Jamii kutoka Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Dkt. Ali Mzige[/caption]
Na: Nuru Juma-MAELEZO.
Daktari Mshauri kutoka Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) Dkt. Ali Mzige amewataka watanzania kuepuka uzito mkubwa na kitambi...
Read More