Na. Tiganya Vincent – RS Tabora
MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amemtaka Katibu Tawala mkoa huo kuuandikia uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tabora kuwachukulia hatua wajumbe wa timu ya mradi wa Miombo Wilayani Uyui kwa sababu za kushindwa kufanya kazi na kuchelewa kuanza kwa mradi wa ufugaji kuku wenye thamani shilingi milioni tano.
Mwanri alitoa agizo hilo jana wakati alipotembea Halmashauri hiyo kwa ajili ya kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa chini ya ufadhili wa Miombo ambayo ni pamoja na ufugaji nyuki, kuku, samaki, mbuzi, u...
Read More