Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa Kaimu Meneja wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), mkoa wa Shinyanga Daniel Ojwando, wakati Katibu Mkuu huyo alipokuwa akikagua Karakana ya TEMESA mkoani humo.
Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Mibara Ndirimbi, akizungumza wa watumishi wa Taasisi zilizo chini ya Sekta ya Ujenzi, wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga, ali...
Read More