Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 12 Septemba, 2022 akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwanza kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo.
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Adam Malima wakati alipofika jijini hapo kwa ajili ya ziara ya kikazi leo Septemba 12, 2022.
Read More