[caption id="attachment_46594" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani (kushoto) akijadiliana jambo na Msimamizi Miradi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Stephen Manda (wa pili-kulia), alipotembelea Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere, Rufiji kukagua maendeleo ya ujenzi, Septemba 8, 2019.[/caption]
Na Veronica Simba – Pwani
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, amekagua maendeleo ya kazi ya ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (MW 2115), wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani na kusema ameridh...
Read More