[caption id="attachment_35380" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (katikati), akikata utepe, kuashiria uwashaji rasmi wa umeme katika Kijiji cha Nyijundu, Wilaya ya Nyang’hwale, Mkoa wa Geita, akiwa katika ziara ya kazi kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini, jana Septemba 17, 2018. Kulia kwake (mwenye kofia) ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel na kushoto kwake ni Mbunge wa Nyang’hwale, Hussein Kassu.[/caption]
Na Veronica Simba – Geita
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewasha...
Read More