[caption id="attachment_14229" align="aligncenter" width="960"] Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa kwanza kushoto), akikagua jenereta linalowezesha mnara wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), katika eneo la eneo la Gairo Hill,wilayani Gairo, Mkoani Morogoro. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Bibi. Siriel Mchembe.[/caption]
Na Mwandishi Wetu.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameyataka makampuni ya simu nchini kuhakikisha mawasiliano ya simu yanapatikana wakati wote katik...
Read More