Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Mhe. Geoffrey Mwambe, akiongea na Wafanyakazi wa kiwanda cha kusindika nyama cha SAAFI mjini Sumbawanga, mkoani Rukwa,
Serikali imedhamiria kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi katika mikoa yote nchini, ili kuimarisha uchumi, kupanua wigo wa walipa kodi, ajira na kuwawezesha wananchi kupunguza umasikini.
Katika kutekeleza azma hiyo, Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), kwa kushirikiana na Wizara ya mifugo na Uvuvi, imedhamiria...
Read More