[caption id="attachment_10992" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo wakati wa hafla fupi ya kuwapokea wanamichezo wanafunzi waliotoka kushiriki mashindano ya Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bw. Mohamed Kiganja na Mratibu wa Michezo Shule ya Sekondari Makongo Kapteni Abdul Mbaruka Tika.[/caption]
Na: Thobias Robert
Waziri wa Habari, Utamaduni,...
Read More