Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akipuliza filimbi kuashiria Uzinduzi wa Mashindano ya Shule za Msingi na Sekondari (UMITASHUMTA na UMISSETA), leo Agosti 04, 2022 katika Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Tabora.
Na Shamimu Nyaki - WUSM
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul amesema wizara imetengewa takriban Shilingi Bilioni 2 kwa ajili ya kuboresha miondombinu kwa shule maalumu 56 za michezo.
Mhe. Gekul amesema hayo Agosti 04, 2022 katika Ufunguzi wa Mashindano ya UMITASHUMTA n...
Read More