Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya washirki wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Agosti 10, 2022. Wa nne kushoto ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohammed Mchengerwa na wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe (kulia) na Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Mohammed Mchenger...
Read More