Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akijionea na kupokea maelekezo ya utaratibu wa ukaguzi wa magari yanayoingizwa nchini unaofanywa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakati alipotembelea Bandari kuu Dar es salaam kujionea zoezi hilo, leo Agosti 05, 2021. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amesema Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limekusanya takribani Shilingi Bilioni 3.9 katika zoezi la ukaguzi wa magari bandarini...
Read More