[caption id="attachment_45500" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,( Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, (katikati) akiimba wimbo wa wafanyakazi pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya Sigara Tanzania(TCC), kutoka kulia ni Mwenyekiti TUICO-TCC, Masoud Nzowah, Katibu Mkuu, TUICO, Boniface Mkakatisi, na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu, TCC, Allan Jackson na Mkurugenzi Uzalishaji, TCC, Sam Mandera, wakati wa Hafla ya kusaini mkataba wa Hali bora mahala pa kazi kati ya TUICO na TCC iliyofany...
Read More