Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof Adolf Mkenda akisisitiza jambo wakati akifanya mazungumzo na Balozi wa India nchini Tanzania, Ndg Binaya Srikanta Pradhan ofisini kwake Jijini Dar es salaam tarehe 5 Julai 2022. Mwingine pichani ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe (Kulia)
Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini Tanzania, Ndg Binaya Srikanta Pradhan ofisini kwak...
Read More