[caption id="attachment_33308" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, akizungumza na wananchi wa PembaMnazi, Kigamboni jijini Dar es Salaam; alipofanya ziara ya kazi kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme, Julai 3, 2018.[/caption]
Na Veronica Simba – Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu amefanya ziara katika Wilaya ya Kigamboni, mkoani Dar es Salaam na kuwaelezea wananchi wa eneo hilo watakavyonufaika na Mradi mpya wa umeme unaoitwa Peri-Urban.
Alifanya ziara hiyo jana, Julai 3, 2018...
Read More