Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Indonesia, Mheshimiwa Macocha Tembele, mazungumzo yaliyofanyika Jijini Dar es salaam leo tarehe 20 Julai 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 20 Julai 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Indonesia, Mheshimiwa Macocha Tembele, mazungumzo yaliyofanyika Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais amempongeza Balozi Tembele kwa kua...
Read More