[caption id="attachment_53340" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati), akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Juni 17, 2020 katika Ofisi za Wizara, Dodoma.[/caption]
Veronica Simba – Dodoma
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameipongeza Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), akisema imefanya kazi nzuri katika kushughulikia changamoto mbalimbali za umeme nchini.
Alibainisha hayo Juni 17, 2020 alipokutana na kuzungumza na Bodi...
Read More