[caption id="attachment_4338" align="aligncenter" width="750"] Barabara ya Bagamoyo -Makofia - Msata yenye urefu wa Kilomita 64 imekamilika.[/caption]
Na Dkt. Hassan Abbasi*
WIKI iliyopita katika utangulizi wa safu hii muhimu inayowaunganisha wananchi na Serikali yao kujua mikakati iliyopo na utekelezaji wake, nilianza kwa kuchambua, kama nchi, tunataka kwenda wapi. Tuliangalia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2025.
Katika makala hiyo tuliona jinsi Dira hiyo inavyosisitiza misingi mikuu kama ya kuwa na Taifa lenye watu walioelimika,...
Read More