[caption id="attachment_44541" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias Kwandikwa akielekea Wodini kwa ajili ya kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma. Kushoto ni Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Abdul Pumzi. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha majeruhi 32.[/caption]
[caption id="attachment_44545" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi...
Read More