[caption id="attachment_33071" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akipokelewa na Mkuu wa Idara ya Kiswahili wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu John (SJUT), Bi. Lilian Kaishozia alipowasili chuoni hapo kwa ajili ya hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Kiswahili, "Mtazamo Mpya" kilichoandikwa na mwanazuoni mkongwe na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kiswahili Development Ltd (KIDE -MAKI), Profesa David Masamba (hayupo pichani) Jijini Dodoma. Katikati Kampuni ya Kiswahili Developme...
Read More