[caption id="attachment_52881" align="aligncenter" width="750"] Msajili wa Hazina Bw.Athumani Mbuttuka akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) juu ya kuunganishwa kwa benki ya TPB na TIB Corporate leo Jijini Dodoma[/caption]
Na. Immaculate Makilika – MAELEZO
Serikali imeziunganisha benki zake mbili za biashara, Benki ya Posta Tanzania (TPB Bank Plc) na Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB Corporate Limited) ili kuongeza ufanisi na kupunguza gharama za uendeshaji.
Akizungumza leo (Jumatatu Juni 1, 2020) jijini Dodoma, Msajili wa Hazina...
Read More