[caption id="attachment_53089" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambaye amelazwa katika hospitali ya Ntyuka jijini Dodoma, kwa matibabu Juni 9, 2020. Mbowe anatibiwa majeraha aliyoyapata baada ya kushambuliwa na watu ambao bado hawajajulikana wakati akiingia nyumbani kwake jijini Dodoma usiku wa kuamkia leo.[/caption]
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 9, 2020 amemtembelea na kumjulia hali Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbow...
Read More