Na Jonas Kamaleki
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kulihutubia na kulivunja Bunge la 11 jijini Dodoma kesho Juni 16, 2020.
Bunge hilo lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akifungua Bunge hilo, Rais Magufuli aliainisha viapaumbele kadhaa vya Serikali yake ikiwemo kupambana na rushwa, kukusanya kodi, kupunguza urasimu katika kutoa huduma Serikalini, kuboresha huduma za afya, elimu,...
Read More