Na. Paschal Dotto-MAELEZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli amepokea kiasi cha Tsh.Bilioni tatu kutoka kampuni ya Barti Airtel, baada ya mazungumzo na makubaliano ya kimaslahi kati ya kampuni hiyo ya simu na Serikali, fedha hizo kuanzia mwezi wa nne, wa tano na wa sita.
Akizungumza Ikulu Jijini Dar es Salaam, Rais alisema kuwa amefurahishwa na kitendo cha watanzania waliokuwa kwenye kamati ya mazungumzo kwani wamefanya Tanzania kupata mslahi mapana katika uwekezaji wa kampuni hiyo.
“Tumeingia kwenye mazungum...
Read More