[caption id="attachment_43320" align="aligncenter" width="800"] Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Mrisho Gambo akifungua Mkutano wa Wadau wa NHIF, Mkoa wa Arusha.[/caption]
Na Mwandishi Wetu, Arusha
SERIKALI imewataka Watoa Huduma waliosajiliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kuachana na udanganyifu katika utoaji wa huduma kwa wanachama wake kwa kuwa jambo hilo ni kurudisha nyuma maendeleo ya Mfuko ambao ni nguzo kubwa katika utoaji wa huduma za matibabu.
Akifungua kikao cha Wadau wa NHIF, Mkoa wa Arusha Bw. Mrisho Gambo amesema kuwa udan...
Read More