[caption id="attachment_52586" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (kushoto) akisisitiza jambo, mara baada ya kuzindua rasmi mradi wa umeme jua Nanjirinji, wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi, Mei 17, 2020. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Christopher Ngubiagai.[/caption]
Na Veronica Simba – Lindi
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amezindua rasmi mradi wa umeme jua unaotekelezwa katika vijiji vya Kata ya Nanjirinji, wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi.
Akizungumza na viongozi wa eneo hilo akiwemo Mkuu wa...
Read More