[caption id="attachment_52630" align="aligncenter" width="750"] Afisa Mfawidhi wa THBUB Kanda ya Kusini, Bwana Noel Chiponde (kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti wa THBUB, Jaji (Mst.) Mathew Mwaimu (katikati) katika ofisi ya Tume zilizopo mkoani Lindi alipoitembelea Mei 18,2020 . Kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji wa THBUB, Hajjat Fatuma Muya.[/caption]
Na Mbaraka Kambona
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Jaji (Mst.) Mathew Mwaimu ametoa rai kwa wananchi wanaoishi katika Mikoa ya Kusini kutoka na malalamiko na badala y...
Read More