[caption id="attachment_42790" align="aligncenter" width="640"] Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (katikati) akionyesha nyumba ambazo bado hazijaunganishiwa umeme katika eneo la Ntyuka jijini Dodoma wakati alipofanya ziara ya kukagua maeneo ya mijini ambayo hayana umeme. Wengine katika picha ni watendaji wa TANESCO na Wizara ya Nishati.[/caption]
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amewaagiza Watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha kuwa ifikapo tarehe 30 Juni, 2019, mitaa yote isiyo na umeme katika Majiji yote nch...
Read More