Rais Magufuli Azungumza na Wanafunzi wa SUA, Atoa Pongezi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekipongeza Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kufanya utafiti na kutoa mafunzo bora ya kilimo yaliyojenga heshima kwa Taifa na kuleta mageuzi katika kilimo, ufugaji na uvuvi.
Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo terehe 07 Mei, 2018 alipokitembea Chuo Kikuu cha SUA na kuzungumza na jumuiya ya wanafunzi na wafanyakazi ambapo amewahakikishia kuwa kwa kutambua dhamira ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambar...
Read More