Na Prisca Ulomi, Rombo
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Jim Yonazi ameongoza timu ya wataalamu kutoka Wizarani, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kufanya ziara ya kukagua changamoto ya upatikanaji wa mawasiliano mipakani ikiwemo mwingiliano wa mawasiliano mpakani mwa Tanzania na nchi jirani ya Kenya kwenye maeneo mbali mbali wilayani Rombo na uwepo wa mawasiliano hafifu kwenye maeneo hayo
“Tumeona kwamba kuna madhaifu madogo madogo, hatua...
Read More