[caption id="attachment_29780" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akifafanua jambo kwa wadau wa mkutano wa wawekezaji wenye nia ya kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba nchini (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa wadau hao mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na Fatma Salum.
Serikali imekutana na wadau mbalimbali kutoka sekta ya umma na binafsi wenye nia ya kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba hapa nchini kwa lengo la kujadili namna ya kufanikisha mchaka...
Read More