Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akielezea mafanikio ya mwaka mmoja wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Mhe. Samia Suluhu Hassan madarakani,
. Na Grace Semfuko, MAELEZO
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa Rais Samia Madarakani, Wizara yake imeanza mapitio ya Sera tatu kati ya nne zinazoongoza Wizara yake kwenye sekta mbalimbali ili kuziboresha na hatimaye ziweze kuendana na wakati tulio nao sasa.
Amezi...
Read More