[caption id="attachment_41042" align="aligncenter" width="884"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akihutubia washiriki wa Warsha ya Mafunzo kuhusu Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini Uganda kuja Tanga yaliyofanyika katika Ukumbi wa Tanga Beach Resort Machi2, 2019.[/caption]
Na.Mwandishi Wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagam...
Read More