[caption id="attachment_41066" align="aligncenter" width="750"] Mheshimiwa Waziri, Ummy Mwalimu (katikati), akiongoza Mkutano na Wadau wa Kemikali uliokuwa na lengo la kujadili namna bora ya kuboresha mazingira ya kufanya biashara ya kemikali nchini. kulia ni Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Mamlaka, Profesa Esther Hellen Jason na Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (kushoto).[/caption]
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itaendelea kusimamia na kudhibiti matumizi ya kemikali...
Read More