Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo ya Serikali katika Mkutano na Waandishi wa Habari leo Februari 13, 2022 katika Ukumbi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale, zanzibar
Na Immaculate Makilika - MAELEZO, Zanzibar
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) hadi kufikia 31 Januari, 2022, imesajili jumla ya wananchi wa Zanzibar wenye sifa stahiki 806,197 sawa na asilimia 88% ya lengo la kusajili watu 919,117 ifikapo Machi 2022 na...
Read More