[caption id="attachment_40144" align="aligncenter" width="813"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (kulia), akikabidhi Hati ya makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kimkakati katika Mkoa wa Pwani, wa pili kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Bi. Theresia Mmbando, wakati wa hafla ya utiaji saini wa miradi hiyo iliyofanika katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma[/caption]
Na Saidina Msangi, WFM, Dodoma
Serikali, kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, imezipatia Halmashauri 12 nchini ruzuku ya...
Read More