Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Februari, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe ambaye ni Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi Vijijini Mhe. Pretence Shiri.
Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo Mhe. Shiri amekabidhi barua kutoka kwa Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa.
Mhe. Shiri ameishukuru Tanzania kwa mchango mkubwa ilioutoa kwa Zimbabwe wakati wa kupigania uhuru uliopatikana mwaka 1980, na amebainisha kuwa W...
Read More