Baadhi ya Wasanii waliokidhi vigezo vya kisheria na kukidhi masharti ya kupata mgawo wa mirabaha wameendelea kumiminika katika ofisi za Taasisi ya Hakimiliki (COSOTA), kuanzia jana Januari 31, 2022, kuwasilisha taarifa zao za kibenki na kukamilisha taratibu za msingi ili kuweza kukamilisha zoezi la ulipwaji wa mirabaha yao.
Miongoni mwa Wasanii hao ni Ambwene Yesaya (AY), Farid Kubanda (Fid Q), Chege Chigunda pamoja na Meneja wa kundi la Mabantu.
Msanii Ambwene Yesaya (AY) akiwasilisha taarifa zake katika ofisi za Taasisi y...
Read More