[caption id="attachment_28520" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (KBF), Bibi. Joyce Fissoo akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, mjini Babati Leo. Katibu huyo yupo mkoani Manyara kwa ziara ya kikazi ili kuwajengea uwezo wajumbe wa Bodi za Filamu za Mikoa na Wilaya kuhusu Kanuni na Sheria ya Filamu katika mkoa huo. Kulia ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Missaile Raymond Musa.[/caption]
[caption id="attachment_28521" align="alignce...
Read More