Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof, Joyce Ndalichako amesema nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimeazimia kutekeleza Sera, Mikakati na Programu zitakazowezesha kulindwa kwa haki za msingi za wahamaji wa kazi katika nchi hizo.
Waziri Ndalichako ameyabainisha hayo mara baada ya kushiriki Mkutano wa Utatu wa Mawaziri wa Kazi na Ajira na Wadau wa Utatu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kuanzia tarehe 29 - 30, nchini...
Read More