Na. Immaculate Makilika -MAELEZO
Serikali ya Awamu ya Tano yafanikiwa kuleta mabadiliko ya kiutendaji yaliyosaidia kuongeza ufanisi katika kutoa huduma bora kwa wananchi.
Akizungumza leo jijini Dodoma, kwenye kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binandamu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, George Mkuchika alisema “Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli, inasimamia kikamilifu maadili katika utumishi wa umma, na...
Read More