Veronica Simba – Ruvuma
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme ameipongeza Serikali kwa kuunganisha umeme wa Gridi ya Taifa mkoani humo ambao umebadili hali ya maisha ya wananchi husika kutoka kwenye uduni na kuwa bora zaidi.
Ameyazungumza hayo wakati akielezea hali ya upatikanaji wa umeme mkoani Ruvuma kwa Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani alipomtembelea ofisini kwake akiwa katika ziara ya kikazi, Desemba 12, 2019.
“Tunamshukuru sana Rais John Pombe Magufuli kwa kutuletea umeme, tangu nchi inapata Uhuru hatujawahi kupata umeme wa gr...
Read More