[caption id="attachment_49825" align="aligncenter" width="630"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza akifungua mashindano ya pili ya mchezo wa Taekwondo yanayofanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 14-15 Disemba, 2019 mwishoni mwa wiki katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.[/caption]
Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Arusha
Serikali ya Awamu ya Tano imeipa kipaumbele sekta ya michezo nchini kwa kuweka mikakati inayohakikisha michezo yote ikiwemo Taekwondo inafanya vizuri ili kuwa chanzo cha kutoa ajira kwa vij...
Read More