Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akizungumza na wadau wa utalii (hawapo pichani)
Jijini Arusha jana ambapo Wizara yake iliwasilisha mapendekezo ya viwango vipya
vya leseni za biashara ya utalii na tozo ya ada za malazi katika viwango vya
ubora wa nyota. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii,
Dk. Aloyce Nzuki.
Na Hamza Temba, Arusha
Wadau wa Utalii Jijini
Arusha wamempongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla kwa
kukubali kuyafanyia kazi mapendekezo ya...
Read More