[caption id="attachment_21650" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Cheti cha Mfumo wa Uhakiki Ubora wa Huduma cha Kiwango cha Kimataifa (ISO 9001:2015) leo Jijini Dar es Salaam. TFDA imekuwa ya kwanza miongoni mwa mamlaka zinazoshughulika na udhibiti wa ubora wa chakula na dawa katika ukanda wa Afrika Masharika kutunikiwa cheti hicho.[/caption]
Na: Frank Shija
NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Waz...
Read More