[caption id="attachment_21730" align="aligncenter" width="640"] Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Mtengela Hanga (kulia), akimkaribisha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias Kwandikwa kwenye Makao Makuu ya TAA, Terminal I.[/caption]
[caption id="attachment_21731" align="aligncenter" width="640"] Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias Kwandikwa (wa tatu kushoto) akielekea kwenye ukaguzi wa ujenzi wa jengo la abiria la Kiwanja...
Read More