Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji cha Kipindimbi, Kata ya Njinjo, wilayani Kilwa mkoani Lindi, leo Novemba 1, 2022, ambapo amelitaka Jeshi la Polisi kuwakamata walioua watu 12 kutokana na mgogoro wa wakulima na wafugaji mkoani Lindi. Kushoto ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Nchini, CP Awadhi Haji, na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Zainab Kawawa.
Na Mwandishi Wetu, MoHA, Lindi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masau...
Read More