Na. Mwandishi Maalum
Wataalam wa Afya moja nchini ambao ni wataalam wa sekta ya Afya ya binadamu, Afya ya wanyamapori, mifugo, mazingira pamoja na wanasheria wa sekta hizo, wameanza mchakato wa kuandaa sheria ya kudhibiti athari za vimelea hatarishi kwa jamii, sheria hiyo itasimamia ulinzi na usalama wa sampuli za vimelea hivyo.
Vimelea hatarishi vinaweza sambaza magonjwa kwa wanyama na binadamu iwapo ulinzi na usalama wake hautaimarishwa wakati wa kuvichukua kwa wanyama, binadamu na mimea au wakati wa kusafirisha vimelea hivyo na kuvipel...
Read More