[caption id="attachment_36338" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela akiwasilisha taarifa ya maandalizi ya Maadhimisho ya Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama. Wa kwanza kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa Bi. Zena Said.[/caption]
Na: Mwandishi Wetu:
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) amefanya ziara ya ukaguzi na kikao ch...
Read More